ROZAC YATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WALIOFAULU KIDATO CHA NNE KUSINI UNGUJA

ROZAC ZANZIBAR – KUSINI UNGUJA – Madam fatma kutoka NLAB, akizungumza machache katika hafla ya kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofaulu vizuri kidato cha nne, Hafla hiyo imeandaliwa na ROZAC COMPANY LIMITED
Mwenyekiti wa HAIBA WOMEN FOUNDATION pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kusini, wakifuatilia kwa makini shuhuyli zinazoendelea katika hafla ya ugawaji zawadi kwa wanafunzi wakliofanya vizuri kidato cha nne kusini unguja.